Pretty Development for Poverty Reduction (PDPR) - is a local (Non-governmental Organization and non-profit making). Situated in Njombe district but operate in whole national (Zanzibar and Tanzania mainland), PDPR base in rural areas of Tanzania, target to serve women, children, youth and marginalized group who are small scale farmers and small business man in Rural areas.
Its registration No is 000NGO/006208. The organization runs its activities through the generous support and participation of individuals and interested global entities partners.
PDPR-works in partnership with rural communities on a wide range of development issues as herby listed agriculture, environmental conservation, capacity building, health, enterpreurship development, human rights, education, and mainstream cross-cutting issues in projects (HIV/AIDS, gender, drug abuse and globalizations).
Mission statement.
To provide aid on various legal matters based on human rights, support the total encouragement based on environmental conservation campaign, facilitate the pomotion of social, economic, and cultural development leading to empower the society with competent technical packages eligible to fight agaist poverty and ignorance at large and let them fight their artificial but also natural resourses available in nurturing their lives.
HUDUMA ZETU:
UFUGAJI WA KUKU:
Asasi ya PDPR inauza na kukopesha vitotozi vya mayai ya kuku full automatic na semi automatic vya mafuta ya taa, umeme na solar, biogas plant (umeme wa choo), mizinga ya nyuki, vifaranga vya kuku na samaki na miche ya matunda. Pia tunatoa mafunzo ya ujasiriamali, biashara na masoko, uwekezaji na kilimo cha matunda mbali mbali pia ufugaji wa nyuki, kuku, nguruwe na samaki na kilimo cha viazi, mahindi, ndizi, nyanya, pilipili hoyo, nyanya chungu, mananasi, matikiti maji, tango, papia, tunavitabu vinauzwa kwa TSH: 2000/= kwa kitabu na TSH: 3000/= Softy copy na pia tunaendesha kambi za mafunzo kila mwezi wa watatu, sita, tisa na kumi na mbili na mafunzo kwa njia ya masafa kwa kila somo. kwa maelezo zaidi popote nchini piga 0754397178 au 0652556833 au tuma email pdprngo@gmail.com.
Mashine hizi zina ufanisi wa zaidi ya asilimia 87 kama mashariti na vigezo vya utumiaji vitazingatiwa na mteja. PDPR inauzoefu wa miaka mitatu na imeshauza zaidi ya mashine 4710 ndani na njee ya nchini kama Zambia, Malawi na zina warranty ya miezi 6 hadi 9 na wateja wetu watapata huduma baada ya mauzo (after sale service) na kupwe mafunzo ya ujasiriamali na mradi husika bure na watatafutiwa masoko ya bidhaa zao.
Tupo wilaya ya Njombe, Kata ya Mtwango ila tunahudumia nchi Nzima Bidhaa yako itasafirishwa kwa busi au lori kokote nchini.
BEI ZETU MPYA NI KAMA IFUATAVYO KUTOKANA NA GHARAMA ZA UZALISHAJI KUPANDA KUANZIA TAREHE 01/05/2015 Hasa kwa kupanda kwa Dollar
Bei ya mzinga ya ubao wa juu 45,000/= , Commercial 110,000/=
Kifaranga cha samaki mia tatu 300/=
Kifaranga cha kuku bloiler not pure 400/= , pure bloiler 1200/=, Chotara 1,100/= , mayai 1,500/=, Kroiler 1500/=, Kenbro 1500/=, Kanga 2000/=
Incubator za mafuta ya taa 30- 130,000 , 50 - 200,000, 120 - 350,000
240- 450,000 300 - 550,000
Incubator ya umeme manual mayai 30 - 150,000, 60 - 250,000, 120 - 380,000
240 - 400,000 300 - 450,000.
Incubator ya umeme Semi automatic 60 - 300,000 120 - 400,000 240 - 500,000
300 - 600,000 500 - 750,000 1000 - 1,200,000, 1500 - 1,400,000, 2000 - 1,800,000 3000 - 2,600,000 4000 - 3,5000,00 5000 - 4500,000 Egg turning have special handle, you turn eggs for 15 Seconds only. (Temperature is automatic, humidity is automatic for machines ranges between 500 up to 5000)
Full automatic (Tempreture, humidity and egg turning) mayai 48 -350,000 120 - 600,000 240 - 850,000 300 - 950,000 500 - 1,300,000 1000- 2,200,000 1500 - 3,100,000 2000- 4,000,000, 3000- 4,700,000, 4000 - 5,600,000/= , 5000- 6,500,000/=
Tunatoa Mikopo ya Vifaranga vya Kuku chotara, Kienyeji, Mayai na vya kanga na mkopaji atalazimika kulipia 60% ya bei ya kifaranga na atapewa ndani ya siku 4 na vifaranga wakimaliza wiki nne mkopaji ataweza kukopa chakula cha kuku mfuko mmoja utakopeshwa kwa TSH: 29,000/= na mkopo utalipwa ndani ya miezi 9 na mkoppo hauna riba. "Mjulishe na Mwenzio" Vifaranga vyeti vina vina ubora na vistahimilivyu vya magonjwa na pia vinauzwa kwa bei elekezi hapo juu.
MKATABA WA MKOPO WA VIFARANGA NA CHAKULA
Makubaliano haya yamefanywa KATI YA
Pretty Development for Poverty Reduction (PDPR), www.envaya.org/pdpr
S.L.P 430, Njombe, simu: 0754397178, 0652556833 …./…./201..
NA
Jina: ……………………………………………………… Mahari …………………………… Simu ……………………………
……………………………………………………………………………………………………………
1) Mkopo wa Vifaranga ……………………………..…Aina …………………………
2) Mteja atawajibika kutoa oda ya walau wiki 1 na kufanya malipo ya awali 10 % ya bei kufuatana na makubaliano watakayo fikia ili aweze kuandaliwa vifaranga vyake na kumalizia 50% siku ya kupokea vifaranga na 40% itabaki kama mkopo utakao lipwa ndani ya miezi 9.
3) PDPR itawajibika kukupa vifaranga ndani ya siku…4…. baada ya kupokea oda na malipo ya awali.
4) Mteja atapewa huduma baada ya mauzo (after sale se rvices) ya mafunzo, ushauri, vitabu, masoko, naataweza kukopa chakula cha kuku baada ya vifaranga kufikia siku 28.
5) Mteja atawajibika kulipa gharama za kusafirisha vifaranga vyake au chakula, mwamara, na gharama zingine zitakazo hitajika.
6) Mkulima anaweza kukopa kuanzia vifaranga 100 hadi 600 na kama yupo eneo la Njombe ataruhusiwa hata vifaranga 50.
7) Fedha/gharama hazitarejeshwa baada ya kulipwa tu kwa sababu zinazoeleweka.
8) Mkataba huu umefanyika mahali……………………………….…..tarehe …………/…../201….
9) Mteja kama amekopa atawajibika kulipa deni ndani ya miezi.. 9.na akishindwa kulipa ndani ya miezi 10. Bidhaa/dhamana itashikiriwa na PDPR, na atalipia riba ya 10% kwa mwezi
10) Mauzo ya bidhaa yataambatana pamoja na mafunzo ya mradi, vitabu viwili na ushauri wa mwaka mmoja pamoja na uandaaji wa chakula cha kuku, ujenzi wa banda bora na magonjwa.
11) Kila upande utahusika na makubaliano yaliyomo kwenye mkataba huu mpaka kila upande utakapo jitosheleza/pata haki yake na mfugaji hutaruhusiwa kuuza kuku mpaka umalize deni.
12) PDPR haitahusika na vifo vya vifaranga kutokana na uzembe, wizi, au kitu kingine chochote
13) Mdhamini wa mkopaji 1: Jina …………………………..wa …………………….. NO ya simu………………………email:…………………………………………..
14) Mdhamini wa mkpaji 2: Jina …………………………..wa …………………….. NO ya simu………………………email:…………………………………………..
15) Offisi ya Serikali ya Kijiji/ Mtaa ……………………………………………………………………. Apewe/asipewe …………Sahihi ……………….. Jina………………….…..……………….cheo………………….. Mhuri ………………….
16) Mimi /sisi………………………………………tumesoma na tumekubaliana namashariti na tupo tayari kuchukuliwa hatua kama tutakiuka au kushindwa kulipa deni, sahihi……………………. Nimelipa ……………………. Deni …………………Risiti ………………… Cheo ……………………. .Tarehe ………………………..
ZINGATIA: Mteja na mdhamini waambatanishe nakala za vitambulisho vya mpiga kura au leseni ya biashara au kitambulisho cha kazi na picha ndogo za mkopaji na mdhamini
KWA MATUMIZI YA OFISI TU:
Imepokelewa na ……………………………….. kwa niaba ya PDPR sahihi……. ..
Cheo ……………………. Tarehe …………………….
Maelezo ……………………………………………………………………………….. ………………………………………………………………………………………….………………………………………………………………………………………….…………………………………………………………………………………………..
TAARIFA ZA WAKALA KAMA AMEHUSIKA:
Jina ……………………………….…No: ya simu ……………………………………. Mkazi wa …………………………………. Email ……………………………………No: ya wakala ………………………………
Sahihi ………………………Tarehe..………… kiasi alicholipa………………………
NB: Malipo yote yatumwe makao makuu NO: 0754397178, 0652556833 na unaweza nunua cash vifaranga au chakula kwa bei elekezi.
- Kifaranga cha kuku kijogoo 400/=, pure boiler 1200/=,Kienyeji 1200/= Chotara 1300/= , mayai wa Malawi 1500/=, kroiler 1500/=
- Mfuko wa chakula Kanda ya kusini TSH: 29,000/=, Kati 31,000/= Pwani na Dar es salaam TSH: 32,000/= Kaskazini TSH: 35,000/= na mkopaji atawajibika kulipia asilimia 60% ya mfuko wa chakula na 40% itakuwa deni (Bei ni pamoja na usafiri).
Jina la mkopji ……………………………Sahihi ……………. Afisa wa PDPR ……………………………Sahihi .…………..
Tarehe: ……………………………………. Tarehe: ………………………………..
PANDA MITI YA MBAO KIBIASHARA UFAIDIKE:
Kilimo cha miti kimepata umaarufu wa ghafla miaka ya hivi karibuni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ongezeko la mahitaji ya mazao ya miti na changamoto ya mazingira. Katika Tanzania mikoa ya Njombe na Iringa ni moja ya mikoa maarufu inayoongoza kwa misitu mikubwa ya kupandwa.
Miti inatumika kwa mbao, nguzo za umeme, nguzo za kujengea pamoja na utengenezeaji wa karatasi. Ukiacha mahitaji haya tuliyoyazoea; hivi sasa kumeibuka fursa nyingine mpya ambapo mashirika ya kimazingira kutoka Magharibi yananunua hewa ukaa (carbon dioxide). Kwa maana hiyo unaweza kupanda shamba la miti halafu ukawa unakusanya dola kwa kuuza hewa ukaa wakati ukisubiri miti ikomae uvune mbao, nguzo ama miti ghafi ya kutengenezea karatasi.
Hii ni sawa na kutegeneza hela ukiwa umelala. Mbali na kuuza hewa ukaa, vile vile unaweza kufuga nyuki na kuendelea kuvuna asali wakati unasubiri kukusanya mamilioni kwa kuuza miti ya nguzo, karatasi ama mbao.Kilimo hiki cha miti ni uwekezaji wa muda wa kati na mrefu (middle& long term investments). Kiutamaduni watanzania wengi huwa hawavutiwi na uwekezaji wa muda mrefu.
Hata hivyo kama una mpango wa kuwa na “financial freedom” usikwepe kufikiria uwekezaji wa muda mrefu. Waingereza husema “Information is power”. Wengi hawajachangamkia fursa hii kwa kukosa taarifa tu. Kazi kitabu hiki ni kukupa taarifa hizi za utajirisho. Miti ya mbao inatumia wastani wa miaka sita hadi 8, tangu kupandwa hadi kuvunwa kwake.
Hii ina maana inapofikisha umri wa miaka sita huwa tayari kwa kuanza kuvunwa kwa mbao ndogo. Ekari moja ya shamba inachukua wastani wa miti mia sita (600). Wastani wa chini wa mti mmoja kwa sasa uliokomaa ni shilingi elfu ishirini (30,000 hadi 60,000, inategemea na ukubwa wa mti). Ina maana katika ekari moja ukiwa na miti iliyokomaa unakusanya jumla ya shilingi milioni kumi na nane (18,000,000).
Fedha hiyo (kadirio la chini kabisa) utaipata ikiwa unaamua kuuza kwa bei ya jumla miti ikiwa shambani. Lakini kama ukiamua kupasua mbao wewe mwenyewe unaweza kuvuna mbao hadi za milioni thelathini na mbili (32,000,000) kwa ekari moja. Hadi sasa uhitaji (demand) wa mbao katika soko ni mkubwa kuliko ugavi (supply) hivyo kwa miaka 10 ijayo hatutarajii kushuka kwa soko la mbao, nguzo ama malighafi za karatasi.
Gharama ya kununua shamba tupu ni kati ya shilingi elfu Themanini na laki moja na 20 elfu (120,000) kutegemea na maeneo husika unayotaka ama kupata. Gharama za kuandaa shamba, kununua miche na kupanda ni kati ya shilingi laki moja na nusu,na laki moja. Hii ina maana unaweza kumiliki ekari moja ya msitu wa miti kwa hadi shilingi laki nne tu! Kutegemea na umri wa miti unayotaka.
Mtu unaweza kuona kuwa pengine kununua shamba tupu na kuanza kuhangaika na upandaji miti itakuwa ni mlolongo mkubwa; kukusaidia katika hilo Asasi ya PDPR imekuwa na utaratibu wa kumilikisha mashamba yenye miti (kuuza) kwa bei nafuu sana. Yapo mashamba yenye miti ya kuanzia mwaka mmoja, miaka miwili, miaka mitatu na miaka minne.
Uponunua mashamba haya kutoka kwetu, PDPR inaendelea na upandaji wa mashamba mapya kupitia fedha hizo. Kilimo cha miti ni rahisi sana kwa sababu ukishapanda hakihitaji uangalizi mkubwa sana na wala hauhitajiki uwe karibu na shamba/mradi muda wote. Kuna kazi chache ambazo zinahitajika ukishapanda shamba lako.
Mvua inyeshe ama isinyeshe mti wa mbao, nguzo ama karatasi ukishachipua huwa haufi kwani huendelea kutumia unyevu wa ardhini. Kazi namba moja unapokuwa umeshakamilisha upandaji wa miti kwenye shamba; ni kutengeneza njia za kuzuia moto walau mara moja kwa mwaka, kazi ya pili ni kufyekea miti inapokua walau kwa mwaka mara moja (prooning).
Gharama zote hizo yaani kutengeneza njia za moto, kufyekea na kulinda moto haizidi laki mbili kwa mwaka mzima. Kwa maana hii gharama za kuhudumia shamba la miti ekari moja kutoka kupandwa hadi kuvunwa ni wastani wa shilingi laki tano. Gharama hizi ninazopiga ni ikiwa utaamua kununua shamba leo na kama ungekuwa tayari una shamba ambalo unalihudumia leo.
Hata hivyo nadhani wote tunafahamu kuwa ardhi ni rasilimali inayopanda thamani kila siku. Vile vile tunatambua kuwa suala la mazingira ni tete kwa sasa na katika karne zijazo kama wataalamu wanavyotuthibitishia. Hii ina maana kuwa ukiwa na shamba la miti leo; thamani ya ardhi hiyo inazidi kupanda kila siku na miti uliyopanda inazidi kupanda thamani kila kukicha.
Jambo la uhakika ni kuwa hata kama bei ya miti, mbao, nguzo itayumba hutaweza kupoteza mtaji uliotumia na wala hutakosa kuzalisha faida kwa shamba utakalokuwa umemiliki, iwe ni eka moja, kumi, mia ama elfu moja. Mbali na hivyo unaweza ukaona, ahaa, miaka sita hadi kumi ni mingi mno; bado una nafasi ya kupata faida hata ndani ya mwaka mmoja, miwili au mitatu.
Ukishapanda shamba la miti ekari moja kisha baada ya mwaka mmoja ukaamua uuze utauza si chini ya milioni mbili hadi nne. Kukusanya milioni nne kwa mtaji wa laki sita, pasipo kutumia muda mwingi ama usumbufu wa kusimamia; hakika ni faida nono.
Huenda hadi kufika hapa unaweza ukawa umeshavutiwa na biashara hii. Wengi wenu mnaweza kujiuliza maswali mkubwa mawili; “Ninatamani nifanye mradi huu lakini Njombe au Iringa sikufahamu na hata kama nakufahamu nitaanzia wapi kupata hayo maeneo?” Pili: Niko mbali na sina muda wa kushinda huko, Je, ni nani atanisaidia kupanda, kusimamia na kuendesha hayo mashamba?
Ili kutimiza ndoto yangu hiyo tumeweka utaratibu ufuatao utakaohakikisha kila mwenye ndoto, kiu na hamasiko la kuwekeza kwenye kilimo cha miti anafanikiwa. Jisikie huru wakati wowote kuwasiliana nasi kwa ufafanuzi na msaada wa fursa hii. Natamani watanzania tuache kulalamika kuhusu wageni kuvamia ardhi yetu, badala yake tuchangamke kumiliki na kufanya uzalishaji katika ardhi yetu.
Inawezekana! Kwa kutumia sheria ya ardhi ya mwaka 1999 sheria namba 5 utapata documents za umiliki; kwa kuzingatia taratibu na tamaduni zote za wenyeji zinazohusiana na umilikaji ardhi nitahakikisha nakusaidia ili ndoto yako itimie.
MCHANGANUO WA GHARAMA:
Kununua shamba ……....………80,0000/=
Kununua miche ……….....………60,0000/=
Kupanda ……………........………..60,0000/=
Usafiri ……………………...........… 10,000/=
Pruning ….............................. 50,0000/=
Fire line (njia za moto) …....… ..50,0000/=
Jumla ………………….......…..310,000/=