PICHA MBALIMBALI ZIKIONYESHA WASHIRIKI KATIKA MDAHALO WA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIANA UKEKETAJI KANDA YA KATI ULIORATIBIWA NA AFNET KWA KUSHIRIKIANA NA DAWATI LA POLISI LA KUZUIA UKATILI NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA NA WATOTO -Tarehe 04 Novemba, 2013 katika ukumbi wa Polisi
Mkurugenzi wa AFNET Tanzania Sara Mwaga akifafanua jambo katika mdahalo huo.
Muwakili wa Dawati la jinsia na unyanyasaji wa jeshi la polisi Dodoma ASP Hamid Hiki akitoa mada ya kazi ya dawati ndani ya jeshi la polisi.
Dr. Januarius Hinju kutoka hospital ya Mkoa wa Dodoma akiwasilisha mada ya unyanyasaji wa kijinsia katika mdahalo huo
Washiriki kutoka mikoa mbalimbali ya kanda ya kati wakiwa katika mdahalo huo
Meza kuu ya watoa mada