Nafasi zlizopo ni;-
A. MTAALUMA wa uandishi wa maandiko ya miradi {propposal project}>> Mtu wa kujitolea awe msomi na mwenye uzoefu na mbunifu angalau wa miaka 2 kwa kazi hii.
B. MTAALAMU WA MIRADI mtu wa kujitolea awe na stashahada ya juu ya maendeleo ya jamii na ufundi, pia awe mtaalamu mahili mwenye uwezo wa kuiwezesha jamii kujiletea maendeleo yenyewe. na awe na uwezo wa kuandaa mitaala inayokidhi mahitaji sanjali na mabadiliko yanayotokana na utandawazi, sayansi na teknolojia.
C. MTAALAMU wa COMPUTER mtu wa kujitolea awe na utalaamu wa rugha ya kiingereza na awe na uwezo katika matumizi ya computer kiujumla pasipo kuacha kitu na program zote.