Quantcast
Channel: Envaya: Latest updates
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4212

Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA added a News update.

$
0
0

TEMAO YAUNGA MKONO MABADILIKOYA MFUMO WA KUTUNUKU MATOKEO YA KIDATO CHA PILI NA NNE KWA ELIMU YA SEKONDARI

Ni muhimu kutambua kuwa miongoni mwa changamoto kubwa za elimu hapa nchini ni matokeo mabaya. Kwa miaka kadhaa mpaka mapema mawaka huu kumekuw na mfumo dhaifu wa kutunuku matokeo kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza. mfumo huu ulikuwa unapunguza haswa morali na ushindani miongoni mwa wanafunzi. Mfumo wa zamani uliopendekezwa utasaidia kurudisha hadhi ya mitihani na hivyo kurejesha morali na ushindani kwa wanaffunzi.

Ni muhimu kusimamia taaluma uliko kufuata upepo wa kisiasa. Tujitafakari


Viewing all articles
Browse latest Browse all 4212

Trending Articles