Quantcast
Channel: Envaya: Latest updates
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4212

Dira Group created a Projects page.

$
0
0

Dira Theatre imeshatekeleza miradi ifuatayo;-

UTAWALABORA KWA VIONGOZI WA VIJIJI 2009/10 katika tarafa ya Mamboya, wilaya ya Kilosa na vijiji vyote vya wilaya ya Gairo, mkoani Morogoro.

UTEKELEZAJI WA SERA NA SHERIA ZA ARDHI VIJIJINI 2010/15 katika kata za Maguha, Magubike, Mamboya, Rudewa, Kimamba na Chanzuru wilayani Kilosa na kata za Gairo, Msingisi, Rubeho, Kibedya, Chakwale, Iyogwe wilayani Gairo.

 


Viewing all articles
Browse latest Browse all 4212

Trending Articles