Lishe Bora Kwa Afya Bora
Usikose kujifunza zaidi juu ya umuhimu wa lishe kutoka Mwongozo Maarufu juu ya Afya ya Msingi –Mahali Pasipo na Daktari. Sura ya 31: Lishe bora hutengeneza afya bora inapatikana katika tovuti ya nyenzo za afya ya msingi kupitia: http://sw.hesperian.org/hhg/New_Where_There_Is_No_Doctor:Sura_ya_31:_Lishe_bora_hutengeneza_afya_bora
Ndani ya sura hiyo utajifunza na kuweza kuwasaidia wanakaya na wanajamii juu ya masuala mengi ya kilishe yakiwemo:
- Kula chakula cha kutosha
- Kula vyakula mchanganyiko
- Jinsi ya kula vizuri unapokuwa na uwezo mdogo
- Vyakula vipya, matatizo mapya
- Jitahidi kula vya kutosha unapokuwa mgonjwa
- Utapiamlo
- Kuzuia njaa
- Madawa
Sura hii ni sehemu ya mfululizo wa sura za mwanzo kutoka toleo jipya la Mahali Pasipo na Daktari ambacho kimechapishwa na Hesperian Health Guides na kutafsiriwa na COBIHESA.