Ndugu Martine Mziba,afisa wa Idara ya maji akifunguo kikao kifupi na kuwatambulisha wageni kutoka wizara ya maji,walipokuwa kitongoji cha KIZURE kata ya Ngoma jana 14/06/2013 eneo ambalo Mzeituni Foundation kwa kushirikiana na idara ya maji wamekuwa wakitekeleza mradi wa usajili wa vyombo vya watumiaji maji. KIZURE wamekuwa mfano mzuri kwani kwa pamoja na kwa kushirikiana na wananchi wameweza kusajili na kutumia kisima chao kwa utaratibu mzuri waliokubaliana wenyewe na wanahamasisha ulinzi wa pamoja.
↧