VICTORY YOUTH SUPPORT ORGANIZATION (VIYOSO) Ni shirika lisilo la kiserikali linaloshughulikia vijana ndani ya manispaa na wilaya ya morogoro vijijini katika mkoa wa Morogoro.
Viyoso imeanzishwa mwaka 2010 na kupata usajili wake rasmi mwaka 2011. Shirika hili lina makao yake makuu ndani ya Jengo la CCM -MKOA kata ya UWANJA WA TAIFA manispaa ya Morogoro.
Anwani za shirika ni
S L P 5143, MOROGORO
+255 713 180176.