Chama cha skauti Zanzibar kinatoa salaam na pongezi kwa SKAUTI MKUU mteule mama MWANTUMU BAKARI MAHIZA kwa kuteuliwa kwa Skauti Mkuu Hii ni Mara ya kwanza katika Chama hicho kupata skauti mkuu wa kike Tangia kuanzishwa kwake.
Chama cha skauti Tanzania kimekuwa kikiyumba kutokana na kuna matatizo mbali mbali ambayp yanakikabili chama hicho.
Matumain yetu Uteuzi wa mama Mahiza wa weza kuwa ni dawa kwa chama hicho na kurejesha heshima na uhai wa chama hicho.
kwani chama cha Skauti Tanzania kimekuwa kikinuka kwa sifa mbaya kama wasafirishaji wa dawa za kulevya,watoto pamoja na uuzwaji wa eneo la skauti HQ
naamin wazi kwa pamoja twa weza jenga chama chetu cha skauti Tanzania kwapoja maskauti wa ZAnzibar tunasema karibu sana katika shughuli za skautI