Kwa kushirikiana na wanavijiji vya Matemwe na Kijini ZASNECO inaanzisha Utalii wa mazingira na vijijini ( eco cultuer tour), ili jamii inufaike na utalii. watalii watapata frusa ya kutembelea vijiji na kuona shughuli za jamii.
Tunaomba mchango wako wa aina yoyote ile ambayo unaweza kuchangia juu ya hili.
Ahasanteni.