HALMASHAURI YA WILAYA YA WILAYA YA MISUNGWI
IDARA YA MAENDELEO YA VIJANA
TAARIFA YA UTEKELEZAJI YA KITENGO CHA VIJANA
1. HALI YA USAJILI WA SACCOS ZA VIJANA.
· Jumla ya Saccos / Vikundi kumi na nne (14) vya Vijana vimekwisha sajiliwa. Kati ya vikundi hivyo, Vikundi tisa (09) vimekwisha nufaika na kupewa mkopo kupitia Mpango wa SLEM.
2. HALI YA UTOAJI NA UREJESHAJI WA MIKOPO YA VIJANA.
· Halmashauri ya Wilaya ilipokea jumla T.Shs.10,000,000/= kutoka Wizara ya Vijana Utamaduni na Michezo kupitia SACCOS kwa mwaka wa fedha 2009/2011 ambazo zimewanufaisha Vijana 38 kwa kuwapatia Mikopo yenye thamani ya T.Shs. 20,570,000/= kwa njia ya mzunguko.
Hadi sasa jumla ya T.Shs. 12,374,400/= zilisharejeshwa ambazo ni sawa na asilimia 60 ya fedha zilizokopeshwa.
Na Shilingi 8,195,600/= bado ni deni kwa Vijana waliokopeshwa.
· Kutokana na tatizo la Vijana kukosa ajira ,Idara ya Maendeleo ya Jamii kupitia Mpango wa SLEM kwa kutumia fursa ya Elimu ya Ujasiriamali na Mikopo inaendelea kuhamasisha Vijana kujiunga katika vikundi ili kuanzisha Miradi na kuweza kujiajiri. Jumla ya Vijana 38 wamenufaika na huduma hii.
MISUNGWI VIJANA SACCOS
+255 754 349 894S.L.P 20,
+255 757 901 600MISUNGWI
|
FOMU YA MAOMBI YA UANACHAMA
A: TAARIFA ZA MWANZO
(I)Jina …………………………………… (II) Kaziyake…………………………………(III)Kitongoji…………………… ……… (IV) Kijiji……………….. …………………… (IV) Kata ya …………………………… (V) Tarafaya ….………………………………(VI) Wilayaya ………………………… (VII) Mkoawa…………………………………
B: MAOMBI RASMI
Ninaombakujiunganachama cha Akibanamikopo cha MISUNGWI VIJANA SACCOS cha wilayayaMisungwiilinaminiwezekuwamwanachamammojawapo.Aidhaninakirinakuahaidiyakwambanitakuwamwanachamamwaminifunikitekelezamajukumuyakulipa HISA, AKIBA, AMANA na MKOPO kadriyamaamuziyamkutanomkuu,Katibanamashartimengineyoyatayokuwepowakatihuo.
Tarehe…………………………………… Saini……………………………………………
Nambazasimuzamwombaji……………………………………
C:WADHAMINI
1. JINA ………………………………………… Kaziyako…………………………………….. Kitongoji …………………Kijiji…………….. Kata……………………………………………… Tarafa………………………………………….. Wilaya…………………………………………. NinakiriyakwambaNdugu …………………………….. ninamfahamunamaelezoyotealiyoyatoakatikakipengele ‘A’ hapojuunisahihi. Taerhe……………………..Saini……………… NambayaUanachama…….. Simu Na:………………………………………… |
2. JINA………………………………………. Kaziyako……………………………………. Kitongoji……………………Kijiji………….. Kata……………………………………………. Tarafa…………………………………………. Wilaya…………………………………………. NinakiriyakwambaNdugu, ………………………………………ninamfahamunamaelezoyotealiyoyatoakatikakipengele’A’ hapojuunisahihi. Tarehe…………………………Saini……………………. NambayaUanachama……. Simu Na:……………………………………………….. |
”USITOE WALA KUPOKEA RUSHWA YA AINA YEYOTE“