Napenda kuwapa taarifa kuwa mradi wa ushawishi na utetezi makuzi na malezi ya watoto wa sekondari katika shule ya sekondari Umoja manispaa ya Mtwara Mikindani umefikia hatua ya mwisho katika upembuzi. Tarehe 6/6/2013 wafadhili wa mradi huu walifika ofisini na kufanya mahojiano na maafisa wa mradi na walengwa, tunawaomba wadau na wanaharakati wote mtuombee ili tuweze kupata fedha kwaajili ya mradi huu mzuri.
↧