Alliance for Women,children and Youth Survivors(AWCYS -NGO)
kwa kishirikiana na Taasisi ya Uigizaji na Ngoma za Asili Tanzania (UNA) Tuna muunga mkono MH: MWANASHA TUMBO Mkuu wa wilaya ya MUHEZA Kuanzisha Kampeni ya ##ULINZI NA ELIMU KWA MTOTO WA MUHEZA TANGA NI JUKUMU LANGU##
Kwani ni wajibu wa MZAZI,MLEZI na JAMII nzima kusimamia ELIMU na ulinzi Kwa mtoto
Je wewe ni mlinzi wa mtoto huko uliko ?
Je uko tayari kusimamia kupatikana kwa Ulinzi na Elimu kwa Mtoto?
Karibu tumuunge mkono Mh mkuu wa Wilaya ya MUHEZA TANGA