TANGAZO LA AJIRA
CDTFN – Ni shirika dogo lisilo la kiserikali linalofanya kazi katika Halmashauri ya wilaya ya Mvomero.
Kwa niaba ya Bodi ya wadhamini Mkurugenzi wa CDTFN anapenda kutangaza kazi katika nafasi zifuatazo:-
S/N | NAFASI | IDADI | ELIMU | VIGEZO |
1 | CDTFN Programme officer | 1 | Form VI | Degree in Human Resource/ Resource Mobilization |
2 | Treasurer | 2 | Form VI | Degree in Accountancy |
3 | Project Officer | 1 | Form VI | Degree in Nutrition, M&E and Research |
4 | Care givers of Daycare Center | 3 | Form IV | Cheti cha miaka 2 cha elimu ya malezi ya watoto kinachotambulika na Serikali |
5 | Social Welfare Officer | 1 | Form IV | Cheti kutoka vyuo vinavyotambulika na Serikali mafunzo miaka 2 |
6 | Procurement Officer | 1 | Form VI | Degree in Procurement and Logistic Management |
7 | ICT | 1 | Form VI | Degree in Information and Communication Technology |
8 | Dereva | 1 | STD 7 | Cheti na Leseni vya VETA |
9 | Wapishi | 2 | - | Wasafi na waaminifu |
10 | Librarian | 1 | Form IV | Certificate in Library |
11 | Library mfanya usafi | 1 | STD 7 | Mwaminifu |
12 | Wahudumu kituo cha watoto | 2 | - | Bidii, wasafi na waaminifu |
Tuma vifuatavyo kwa barua pepe ya cdtfn2017@gmail.comIli kuzingatiwa, maombi yako lazima yawe yamepokelewa kabla ya Jumatano 23 Agosti 2017 saa 12:00 alasiri.
1. Barua ya maombi;
2. Curriculum vitae (CV)
3. Vyeti vya kitaaluma na kitaalamu.
Maombi yanapaswa kuwasilishwa kielektronikali kwenye barua pepe ya cdtfn2017@gmail.com, na inapaswa kuonyesha nafasi ya kazi uombayo.
Mwisho wa kupokea maombi ni 23 Agosti 2017 saa sita alasiri
Orodha ya waombaji itapitiwa na kuwa shortlisted, watakaokuwa shortlisted wataitwa kwenye interview na watakaokidhi vigezo wataajiriwa. Usiposikia kutoka kwa email hii jitambue kuwa hujafanikiwa