Kwa sasa Asasi ya YOCOSO inatalajia kuanza utekelezaji wa mradi wa PETS katika maji katika wilaya ya Moshi vijijini. Mradi huu umefadhiliwa na Foundation for Civil Society - FCS , na unakusudiwa kuanza kutekelezwa kuanzia mwezi wa nane hadi mwezi wa kumi na mbili 2017.
Pamoja na utekelezaji wa mradi huo, pia asasi ya YOCOSO inaendelea na utekelezaji wa mradi wa kuendesha club za afya katika shule mbili za Moshi vijijini na tatu za Moshi mjini ambazo ni Pasua, Njoro, Chemchem, Mrupanga na Mawela.