ALLIANCE FOR SOCIAL CHANGE.
JINA LA ASASI:- ALLIANCE FOR SOCIAL CHANGE.
VIONGOZI MKUU 4 ME 3 KE 1
MAKAIMU VIONGOZI WAKUU 6 ME 2 KE 4
BODI YA ASASI;- Wajumbe 6. ME 2 KE 4
KAMATI TENDAJI;- Wajumbe 6 ME 3 KE 3
WAKUU WA IDARA;- 6 ME 3 KE 3
KAMATI YA MIRADI;- 6 ME 2 KE 4
EMAIL;- socialchangealliancefor@gmail.com
TOVUTI;- https://envaya.org/AFSC
ANWANI;- S.L.P 18 KILINDI-TANGA. Tz
SIMU;- +255 687 365 478 & +255 622 999 298.
OFISI YA MAKAO MAKUU NA MATAWI;- BOKWA, MJI wa SONGE. KILINDI - TANGA.
KILOSA MOROGORO TAWI.
MPWAPWA DODOMA TAWI
KITETO MANYARA TAWI
HANDENI TANGA TAWI.
NCHI ;- TANZANIA
UKANDA;- AFRIKA MASHARIKI.
MUUNDO WA KISHERIA WA UMILIKI
Alliance for social change is Non governmental organization registered in Tanzania mainland under Ministry of Community Development, Gender and children, and offered a certificate of registration number NGOs 00007400. Under Non governmental organization act 2002. (under section 12(2) of act no.24 of 2002)
USAJILI;- 00NGOs 00007400
MAONO NA DHAMILA YA SHIRIKA
MAONO(VISION)Kutoa suluhisho bunifu na zinazowezekana katika jamii zilizosahaulika katika kupunguza umaskini, mabadiliko ya mazingira asili vijijini, mabadiliko ya hali ya hewa,walemavu, watu wanaoishi na maambukizi ya UKIMWI na UKIMWI wenyewe , kuwawezesha wanawake na elimu ya dini kwa ajili ya kuwa na maisha bora.
Dhamira(mission) Kuwezesha utoaji wa elimu kwenye jamii zilizosahaulika juu ya mabadiliko ya mazingira asili nay a hali ya hewa, uwezeshwaji wa wanawake, walemavu, watu wanaoishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI na UKIMWI wenyewe, uwezeshaji nishati vijijini, njaa, kupunguza umaskini pamoja na elimu ya dini kwa kuzihusisha serikali za mitaa, serikali kuu na Taasisi zisizokuwa za serikali.
MALENGO YA JUMLA YA ASASI;-
- Kutoa huduma za afya kwa jamii hususan vijijini.
- Maeneo yasiyo na shule tutapeleka huduma hiyo, sh/msingi, sekondari na sh/ za ufundi.
- Utoaji wa elimu ya hifadhi ya mazingira.
- Utunzaji wa misitu ya asili & vyanzo vya maji milimani.
- Upandaji miti na kuzuia uchomaji moto misitu.
- Kutoa elimu ya kilimo.
- Utengenezaji wa mabwawa ya maji kwa uvunaji maji ya mvua.
- Kilimo cha umwagiliaji na ufugaji bora.
- Kuwasaidia walemavu wa viungo & albino.
- Kuwasaidia yatima na watoto wa mitaani kutokana na mahitaji yao.
- Kusaidia wazee na wale wenye mahitaji maalumu.
- Kutoa elimu ya uzalishaji chakula na utunzaji.
- Kupunguza umasikini vijijini kwa kuanzisha miradi ya uzalishaji mali.
- Kuondoa tofauti za udini na ukabila.
- Kushughulikia upatikanaji wa vyeti vya kuzaliwa.
MALENGO MAHUSUSI.
ASASI INAAMINI KUWA;-
>> Ujinga na umasikini ni giza nene linalo ificha jamii kubwa kutoonekana. Ni kama haipo hata kama ingekuwa na mipango mizuri na mawazo chanya ya kujikomboa katika hali duni iliyopo lakini ujinga na umasikini ni kikwazo cha kusonga mbele.>>
- Asasi imeona taswira hiyo na umuhimu wake katika kuikomboa jamii katika umasikini, ujinga na changamoto nyingine zilizozalishwa na upungufu wa elimu vijijini.
- Asasi inawajibu wa kutoa elimu inayoendana na mazingira, tabia na rugha ya jamii hapo ilipo kwa mfano,Nchi za China, nk. Walipotumia rugha zao wamefaulu sana mambo mengi.
- Asasi yetu itahubiri falsafa ya elimu ya maendeleo vijijini na kuiwezesha jamii yenyewe Igundue tatizo lake ili jamii yenyewe ichukue hatua, na hatimaye ijiletee mabadiliko ya kisaikolojia ili kupunguza umasikini na ujinga.
- Kuwezesha jamii iwe na tabia ya kupenda kujifunza mabadiliko. Pia jamii ishike kwa vitendo usemi usemao “UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFU” na kweli wakishikamana na kuambukizana elimu nzuri ya mabadiliko majibu yanayokusudiwa yapatikana sio kwa maneno tu bali kwa vitendo.
UTAMBULISHO WA SHIRIKA:-
JINA LA USAJILI;- ALLIANCE FOR SOCIAL CHANGE.
TAREHE YA USAJILI;- 01/August/2014
MAELEZO MAFUPI YA SHIRIKA {MUHTASALI}
UIMARA(Strengths)
| FURSA (Opportunity) |
Usajili wa NGO wenye kuelezea /kutafsiri Dira,Dhamira na vipaumbele. | Maridhiano na serikali katika kutuunga mkono pindi tunapotaka ridhaa yao sisi kama (NGO) |
Moyo wa kujitolea katika utoaji wa huduma za kijamii. | Ushirikiano na Utendaji wa kazi nzuri na taarifa toka katika kamati tendaji |
Kamati zenye bidii na mbinu za kiutendaji na kujitolea. | Mawasiliano na kubadilishana uzoefu kati ya Asasi na Asasi nyingine kupata wataalam. |
Udhibiti wa Fedha na Adhabu kwa kufuata kanuni ,maadili na mgawanyo wa majukumu. | Kujengeana uwezo na mashirika wenza, semina elekezi na kozi mbalimbali. |
Uwazi wa uongozi katika utendaji na kutoa taarifa kwa ngazi zote. | Ushirikiano wa jamii,mahusiano na wenza na ushirikiano mzuri na wafadhili. |
|
|
UDHAIFU(Weaknesses)
| VITISHO(Risk) |
Uhaba wa vitendea kazi na rasilimali kwa ajili ya kutekeleza . | Wanaojitolea, na wahisani kupunguza kiwango cha utoaji huduma na masharti magumu na mengi |
Uhaba wa wataalamu wakutosha katika ufikishaji elimu kwa makundi ya kijamii. | Baadhi ya watumishi wenye elimu hawaitikii kikamilifu kuihudumia jamii kwa kudai mishahara mikubwa ambayo asasi haina uwezo nayo. |
Kiasi kinachopatikana hakikidhi mahitaji kwa kiasi kikubwa kulingana na hali ya changamoto yenyewe halisi.
| Mabadiliko ya mara kwa mara ya bei za malighafi kama bidhaa, usafiri, shajala nk. Inasababisha kutofikia malengo 100% |
Uzoefu wa AFSC.>> Tangu shirika lipate usajiri wake na kufamika kisheria, limefanikiwa kupata fursa mbalimbali na kupata uzoefu wa uendeshaji wake.AFSC inatoa huduma za kijamii kwa kufuata misingi ya kiuendeshaji wa shirika kikatiba na kutoa huduma kwa umakini na kitaalam.Uzoefu umetokana na ;-
- Namna ya kupangilia matokeo
Matokeo yatatokana na baada ya shughuli za mipango kutokana na mipangilio wa vipaumbele.Matokeo yataonyesha utofauti kabla na baada ya hatua nzima kufanyika na vipaaumbele vinaweza kuwa na rasilimali tofauti.
- Kupangilia shughuli
Matokeo ni kazi maalum ambayo itatendwa kwa kutoa zao au tund la tokeo la mradi kupitia ufanisi kwa kutumia rasilimali.Matokeo yatazuungusha katika namna mbalimbali ya namna nyingi za shughuli. Katika hatua hii mpango utakuwa katika namna ya shughuli ambazo zitatendwa na kuleta matokeo tarajiwa.
- Upangiliaji wa rasilimali
Shughuli inayolenga kutoa zao la matokeo tarajiwa, lazima vyanzo vya rasilimali viwepo vyanzo hivyo ni;- watu,vifaa,muda,na fedha.Kwa maana hii wingi wa mpango vyanzo vya rasilimali kuelezea msimamo wa mpango unaowezekana pamoja na shughuli zake kutekelezeka.
- Kupangilia Viashiria/Vipimo
Kutakuwa na ufuatiliaji na tathmini ya mpango mkakati na Vipimo vya viashiria ambavyo ni vipimo vya kufanikiwa mpango wa vipaumbele na matokeo utaratibu utakuwa unafuata mazingatio.Pia ni wasifu upi utalenga na namna zipi na lini kwa maana nyingine Viashiria vitaonyesha kiwango/viwango na kuheshimu vizuri muda utaonyesha matokeo mapya.
- Kupima matokeo.
Baada ya kupitia viashiria vile ambavyo ndivyo vimebeba matokeo ufuataliaji na tathmini utatuamulia nakutujulisha kuwa tuna nini mkononi nikile tulitarajia au.Itarejea yale yanayowezekana na yaliyopo kwa kuonyesha taarifa ni namna gani viashiria vinaendana na vielelezo. Jedwali litaonyesha mchanganuo wa mpango wa utatuzi.
Muundo wa Shirika
| MKUTANO MKUU WA MWAKA |
|
MKURUGENZI {MWENYEKITI} |
| KATIBU MKUU |
VIONGOZI WA IDARA |
| KAMATI KUU YA UTENDAJI |
|
|
|
BODI YA ASASI |
| KAMATI YA MIRADI |
| MHASIBU |
|
|
|
|
| JAMII/WALENGWA |
|