Tupendelee sana kukaa na vijana kwani vijana wanapambana na mengi kukaa na vijana itatu saidia kutambua matatizo yao pia kuzoea luguha zao za mtaani mfano.Kijana anakwambia korogeti inatoka maana yake kijana huyo nasumbuliwa na Gono na ile korogeti ni usaha.
↧