Quantcast
Channel: Envaya: Latest updates
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4212

UIGIZAJI NA NGOMA ZA ASILI updated its Projects page.

$
0
0

      > UNA TANZANIAZ TUPO KATIKA UTEKELEZAJI WA MRADI WA PAMBAZUKO (Elimu ya Afya ya Uzazi kwa Vijana nje ya shule kwa kata 10 Wilaya ya kinondoni,lengo ikiwa ni kufikia vijana 150 kwa kila kata vijana 15 kwenye kata ya MAGOMENI,NDUGUMBI,MZIMUNI,TANDALE,HANANASIFU,MWANANYAMALA,KIJITONYAMA,MAKUMBUSHO,MSASANI NAKAWE.

Mradi huu umefadhiriwa na Serikali ya UFARANSA kwa muda wa miezi 6 unaolenga kuleta mabadiliko chanya kwenye masuala ya Afya ya Uzazi kwa Vijana nje ya Shule kwani vijana hawa wamekuwa yatima wasikose na mtu wa kutambua changamoto zao zihusuzo masuala ya UZAZIukizingatia Wazazi wa leo wamekuwa si walezi bora kwa watoto wao kutokana na kuhangaikia maisha na kipato cha juu.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 4212

Trending Articles