Quantcast
Channel: Envaya: Latest updates
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4212

MWELA THEATRE GROUP DAR-ES-SALAAM created a Home page.

$
0
0

DIRA

> Jamii ya Watanzania inayo heshimu Misingi ya Utawala Bora

DHAMIRA/UTUME

> Kuelimisha Jamii juu ya Dhana ya Utawala Bora  kupitia Semina,Warsha,Midahalo,Makongamano,Mijadala na Sanaa Shirikishi(Sanaa kwa maendeleo ya Jamii

MADHUMUNI

(a) kuhakikisha tunaunganisha nguvu ya pamoja  na kufanya kazi   kwa pamoja

     Katika   kupambana   na   umasikini    

                          (b)  Kuwajenga vijana, nakuwandaa ili waweze kushiriki

                               Katika kujitambua   kutoa   mamuzi   sahihi     katika

                                Jamii

                         (c) Kuanzisha programu zitakazo wahamasisha vijana katika

                                 kuifahamu                

                                 nchi na dunia kwa ujumla na kukuza ujamaa na heshima baina      

                                 yao na watu wengine

                          (d) Kutoa huduma na msaada katika jamii inayotuzunguka

                          (e) Kuwa mstari wa mbele kupambana na magonjwa kama     

                               {Ukimwi,Malaria n.k

                                               

                   (f) Kuandaa programu zenye kutoa elimu kwa jamii na kutilia      

                         msistizo kwenye elimu ya akina mama katika kuzijua haki zao

                     (g)   Kutetea wanyonge na kukemea unyanyapaa na unyanyasaji wa kijinsia   

                         kikabila

                     (i) Kuandaa programu za kuwasaidia watu wasiojiweza kama, yatima,    

                         wazee, wajane na walemavu na makundi yaliyopembezoni

                     (j) Kuibua vupaji na kuvitumia katika kujiletea maendeleo na nchi

                           kwa ujumla {kujipatia ajira )

                      (l) Kutoa elimu ya uraia na jamii kwa pamoja na maswala ya utawala        

                           bora

                     (m) kutoa elimu ya dawa za kulevya

 


Viewing all articles
Browse latest Browse all 4212

Trending Articles