Quantcast
Channel: Envaya: Latest updates
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4212

Mwanza Youth and Children Network-MYCN added a News update.

$
0
0

                                               Tangazo la kazi
Kama wewe ni kijana wa kitanzania mwenye umri chini ya miaka 30 na elimu ngazi ya astashahada (Diploma) au shahada (Degree) ya utawala (Human Resource), basi tuma maombi yako kwa Shirika la Mtandao wa Watoto na Vijana Mwanza (Mwanza Youth and Children Network - MYCN) kwa barua pepe ifuatayo; mycnapplication@gmail.com Kama unahitaji ufafanuzi wowote wasiliana nasi kupitia simu namba: 0766 565257. Maombi yote yatumwe kabla ya tarehe: 20/11/2016.

Kila la Kheri! Imetolewa na Shaban R. Maganga Mwenyekiti Mtendaji wa MYCN.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 4212

Trending Articles