Mafunzo ya Ufugaji nyuki yaliyoendeshwa na Mwl kutoka chuo cha Nyuki Olimotonyi Mr.Kipemba ambayo yaliendeshwa na Asasi isiyo ya kisiasa wala kidini ya Africa Upendo Group.Mafunzo hayo yalihusisha wafugaji wa Kata ya Shighatini na Msangeni.Wanasemina walikuwa zaidi ya 150 na yaliendeshwa kwa vitendo na nadharia kwa siku mbili mfululizo tarehe 13-14/10/2015.Katika Picha Mwl Kipemba akionyesha baadhi ya mizinga ya biashara ambayo ni ya kisasa na inasaidia malkia kuwa salama na watoto huku asali ikipatikana safi na salama.
Mafunzo ya Ufugaji nyuki yaliyoendeshwa na Mwl kutoka chuo cha Nyuki Olimotonyi Mr.Kipemba ambayo yaliendeshwa na Asasi isiyo ya kisiasa wala kidini ya Africa Upendo Group.Mafunzo hayo yalihusisha wafugaji wa Kata ya Shighatini na Msangeni.Wanasemina...
hapa tupo kwenye mafunzo kivitendo katika Mbungi ya Waruma tunafundishwa jinsi ya kuweka mizinga ile ya biashara kwenye vichanja na mkufunzi wetu ambaye ni Bwana Nyuki wa Wilaya ya Mwanga ndugu Bura.
huyu hapa anaitwa Mahamdu Kileda ndiye Coordinator wa Kata ya Shighatini katika asasi yetu.Hapa anaonyesha umahiri wake kwa kuvaa mavazi ya Kuvunia asali katika mizinga .Hapa ilikuwa ni kwenye semina ya vikundi viwili vya nyuki wakiwa kwenye mafunzo .
Vision:
To be a leading Social Institution (NGO) in disseminating knowledge to the extremely marginalized and excluded members in the society.
MISSION:
To dispense alternative solution on various social problems that degrade our nationhood through respect integrity,teamwork,Love and excellence while preaching for a better and health society to the socially excluded members in the communities of Africa