Quantcast
Channel: Envaya: Latest updates
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4212

Africa Upendo Group updated its Home page.

$
0
0

Mafunzo ya Ufugaji nyuki yaliyoendeshwa na Mwl kutoka chuo cha Nyuki Olimotonyi Mr.Kipemba ambayo yaliendeshwa na Asasi isiyo ya kisiasa wala kidini ya Africa Upendo Group.Mafunzo hayo yalihusisha wafugaji wa  Kata ya Shighatini na Msangeni.Wanasemina walikuwa zaidi ya 150 na yaliendeshwa kwa vitendo na nadharia kwa siku mbili mfululizo tarehe 13-14/10/2015.Katika Picha Mwl Kipemba akionyesha baadhi ya mizinga ya biashara ambayo ni ya kisasa na inasaidia malkia kuwa salama na watoto huku asali ikipatikana safi na salama.

large.jpg

Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya Africa Upendo Group Neatness Msemo akihojiwa na mtangazaji wa Channel Ten na ITV wakati walipoendesha semina ya ufungaji nyuki kwa wafugaji wa kata ya Msangeni na Shighatini tarafa ya Ugweno wilaya ya Mwanga.      

hapa tupo kwenye mafunzo kivitendo katika Mbungi ya Waruma tunafundishwa jinsi ya kuweka mizinga ile ya biashara kwenye vichanja na mkufunzi wetu ambaye ni Bwana Nyuki wa Wilaya ya Mwanga ndugu Bura.

 

Vision:

To be a leading Social Institution (NGO) in disseminating knowledge to the extremely marginalized and excluded members in the society.

MISSION: 

To dispense alternative solution on various social problems that degrade our nationhood through respect integrity,teamwork,Love and excellence while preaching for a better and health society to the socially excluded  members in the communities of Africa

 

 

 

Mafunzo ya Ufugaji nyuki yaliyoendeshwa na Mwl kutoka chuo cha Nyuki Olimotonyi Mr.Kipemba ambayo yaliendeshwa na Asasi isiyo ya kisiasa wala kidini ya Africa Upendo Group.Mafunzo hayo yalihusisha wafugaji wa Kata ya Shighatini na Msangeni.Wanasemina...

Wageni waliotutembelea ofisini kwetu mwezi huu wa pili kutoka Marekani

 




Viewing all articles
Browse latest Browse all 4212

Trending Articles