The organization has designed the project titled “Jali Afya kijana mwenzangu” which will take place on Mwaya Primary School ground play at Mang’ula ward, Kilombero District. It will involve other activities like Sports, drama, jogging, local dancing, etc. We expect to have more than 500 youth residing Mang’ula ward. We expect the DED of Kilombero District to be a quest of honor in opening the ceremony.
Due to that, we request you to support our organization
Katika kutekeleza moja ya malengo ya asasi kama ilivyoainishwa kwenye katiba ya asasi sehemu ya tatu (III) kifungu cha kumi (10) kinachosema “to promote friendly reproductive health rights for youth (RHR) and disseminate knowledge of HIV/AIDS through peer educators, counseling and ICTs strategy to mitigate infection and re-infection of HIV/AIDS “ hivyo asasi kupitia maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani tarehe 01/12/2016 imepanga kutoa elimu,na kuhamasisha upimaji wa hiari wa VVU kwa jamii hasa ya Mang’ula na maeneo jirani. Zoezi hilo litaambatana na MATUKIO mbalimbali ya burudani zenye lengo la kukusanya na kuwaweka pamoja wanajamii kwa ajili ya kupata elimu na kupima VVU kwa hiari.
tunaomba ushirikiano wako katika hili.