watoto wakipata chai baada ya kumaliza kipindi maad ambayo walikuwa wanajali kuhusu familia masikini na familia tajili hakika maada ilikuwa tamu na watoto wameulizana maswali na kujibiana.
↧
HOPE RELIEF AND ORPHANS VILLAGE added 9 News updates.
↧