A TENTATIVE PLAN OF AN ORGANIZATION IN THE YEAR 2015/2016-CHATO DISTRICT COUNCIL
1. CAPACITY BUILDING PROJECTS:
- KUWAJENGEA UWEZO VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA KUTATUA CHANGAMOTO ZA ELIMU VIJIJINI
- KUWAJENGEA UWEZO VIONGOZI WA SHIRIKA KUFUATILIA MAENDELEO YA ELIMU VIJIJINI NA KUJENGA OFISI ZA SHIRIKA.
- KUWAJENGEA UWEZO WANAWAKE NA VIJANA KUPAMBANA NA UMASIKINI (UFUGAJI WA KUKU, SAMAKI NA NYUKI)
2. UTAFITI
- USHIRIKI WA WAZAZI KATIKA MAENDELEO YA ELIMU VIJIJINI
- UFAULU WA WANAFUNZI SEKONDARI
- UTEKELEZWAJI WA MITAALA NA SERA ZA ELIMU KATIKA SHULE ZA VIJIJINI
- UELEWA WA WANAJAMII KUHUSU SERA NA MIPANGO YA SERIKALI JUU YA MAENDELEO YA ELIMU
3. UHAMASISHAJI:
- KUHAMASISHA WANAFUNZI KUSOMA KWA BIDII
- KUHAMASISHA WAZAZI KUZINGATIA UMUHIMU WA ELIMU KATIKA JAMII
- KUENDESHA MASHINDANO YA KIMICHEZO NA KITAALUMA