WAKIHABIMA baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ambapo asasi ilishiriki kama waangalizi wa ndani kwenye maeneo wanakoishi na walikopigia kura, itakaa na kufanya tathmini ya byale ambayo waliyabaini kama kasoro katika mustkabali nzima wa ujenzi wa demokrasia katika Tanzania. Hii itaweza kusaidia kutoa mawazo na fikra mpya katika chaguzi mbalimbali zijazo.
↧