- ni chuo kipya kabisa cha taasisi hii ambacho kitakua kikitoa elimu,katika fani tofauti ikiwa ni sehemu mojawapo ya malengo ya taasisi katika kuibua kukuza na kuendeleza vipaji
- aidha maelezo muhimu kuhusu CAMPUS yatatolewa rasmi jumanne baada ya kikao cha bodi NYOTE MNAKARIBISHWA