Mtandao wa AZAKi Wilaya ya Lindi umefanya Mkutano wake mkuu wa mwaka 2012 siku ya tarehe 26/01/2013 katika ukumbi wa Lindi Press club.
Mkutano huu pia ulikuwa mkutano wa uchaguzi wa viongozi wa Mtandao ambao kwa mujibu wa katiba ya LINGONET hufanywa kila baada ya miaka mitatu.
katika uchaguzi huo viongozi wafuatao walichaguliwa kuwa viongozi wa Mtandao kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo.
1. ESHA SALUM -MWENYEKITI
2. MARTINA CHIKOKO -MAKAMU MWENYEKITI
3. KHAMIS CHILINGA -KATIBU MTENDAJI
4. ABDALLAH MAIKO -KATIBU MSAIDIZI
5. HADIJA HASSAN -MJUMBE
6. SCHOLASTICA NGULI -MJUMBE
7. ABDALLAH MAJUMBA -MJUMBE
8. SELEMANI NAKULOTA -MJUMBE
9. FATUMA NNAMBUYE -MJUMBE
10. MIKE JOHN MLWILO -MJUMBE
11. ASHA BILALI -MJUMBE
Mkutano mkuu pia ulimteua Bwana Saidi Kawanga kuwa Muhasibu wa LINGONET
Pamoja na uchaguzi huo wajumbe walipata nafasi ya kupitia na kujadili taarifa ya utekelezaji na fedha kwa mwaka 2011/12