Tumekuwa na mikakati ya kubadilisha mazingira hasa katika maeneo ya miinuko, hali ambayo itaweza kusaidia mabadiliko ya tabia ya nchi, ni pamoja na vyanzo vya maji katika milima yote inayoizunguka mji wa arusha, Jambo hili linahitaji kupata ufadhili wa nguvu kazi pamoja na pesa za kuwezesha kufikia lengo lililokusudiwa.
Tunaomba mashirika, Makampuni, na taasisi zinazoweza kutoa michango yao kwa ajili ya kuwezesha jambo hili kufanikiwa.
Tunawatakieni baraka na mafanikio.
Katika ujenzi wa Taifa letu,
Venance Mollel
Mwanzilishi wa shirika dogo, U.M.M.M
Utunzaji wa Mazingira Mbinu Mbadala
+255754858302
v.mbinumbadala@yahoo.co