Quantcast
Channel: Envaya: Latest updates
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4212

PRETTY DEVELOPMENT FOR POVERTY REDUCTION (PDPR) updated its MIKOPO EGG INCUBATOR page.

$
0
0

Asasi ya PDPR inauza na kukopesha vitotozi vya mayai ya kuku automatic na manual vya mafuta ya taa na umeme, mashine za kuchomelea, kufyatulia tofari, biogas plant (umeme wa choo) mizinga ya nyuki, vifaranga vya kuku na samaki na miche ya matunda. Pia tunatoa mafunzo ya ujasiriamali, biashara na masoko, uwekezaji na kilimo cha matunda mbali mbali pia ufugaji wa nyuki, kuku, nguruwe na samaki na kilimo cha viazi, mahindi, ndizi, nyanya, pilipili hoyo, nyanya chungu, mananasi, matikiti maji, tango, papia,  tunavitabu vinauzwa kwa TSH: 2000/=  kwa kitabu na TSH: 3000/= Softy copy na pia tunaendesha kambi za mafunzo kila mwezi wa watatu, sita, tisa na kumi na mbili na mafunzo kwa njia ya masafa kwa kila somo. kwa maelezo zaidi popote nchini piga  0754397178 au 0652556833 au tuma email pdprngo@gmail.com.

Mashine hizi zina ufanisi wa zaidi ya asilimia 87 kama mashariti na vigezo vya utumiaji vitazingatiwa na mteja. PDPR inauzoefu wa miaka mitatu na imeshauza zaidi ya mashine 4710 ndani na njee ya nchini kama Zambia, Malawi na zina warranty ya miezi 6 hadi 9 na wateja wetu watapata huduma baada ya mauzo (after sale service) na kupwe mafunzo ya ujasiriamali na mradi husika bure na watatafutiwa masoko ya bidhaa zao.

Tupo wilaya ya Njombe, Kata ya Mtwango ila tunahudumia nchi Nzima Bidhaa yako itasafirishwa kwa busi au lori kokote nchini. 

BEI ZETU MPYA NI KAMA IFUATAVYO KUTOKANA NA GHARAMA ZA UZALISHAJI KUPANDA KUANZIA TAREHE 01/05/2015  Hasa kwa kupanda kwa Dollar

Bei ya mzinga ya ubao wa juu 35,000/= , Commercial 110,000/=

Kifaranga cha samaki mia tatu 300/=

Kifaranga cha kuku bloiler 600/= , Chotara 2,300/= , mayai 2,500/=

Incubator za mafuta ya taa 30- 130,000 ,    50 - 150,000,   120 - 250,000

240- 400,000   300 - 480,0000

Incubator ya umeme manual mayai 30 - 150,000,  60 - 230,000,  120 - 380,000

240 - 450,000 300 - 750,000   500 - 1,200,000   1,000 - 1,800,000

Incubator ya umeme Semi automatic 60 - 340,000    120 - 650,000    240 - 750,000

300 - 1,200,000    500 - 1,300,000     1000 - 2,300,000 Egg turning have special handle, you turn eggs for 15 Seconds only. (Temperature is automatic)

Full automatic (Tempreture, humidity and egg turning) mayai 48 -350,000   96 - 700,000 120 - 800,000     240 - 950,000   300 - 1,450,000  500 - 1,600,000 1000- 2,800,000

Mashine za kutengeneza mkaa wa taka taka ngumu zinauzwa Mnual TSH: 160,000/= gunia 2-3 kwa siku, Umeme kati HP 3 gunia 5- 8 kwa siku TSH: 800,000/= Kubwa HP: 7 gunia 15 - 40 kwa siku 3,000,000/=  utapewa mafunzo na vitabu vya kutumia na mkaa wako wa ziada tutanunua sisi kwa bei nzuri.

Pia tunahitaji mawakala wa kututafuti masoko na wakala watapewa punzo ya asilimia 7% wanaponunua bidhaa zetu na gharama ya kujisajili ni TSH: 15,000/= na watapewa vitabu na mafunzo maalumu ya kuwawezesha kufanya kazi kwa ufanisi na wakala atuutumie email address yake kwenye pdprngo@gmail.com pamoja na majina yake matatu na mkoa anaopatikana au apige 0754397178, 0652556833 kwa maelezo zaidi


Viewing all articles
Browse latest Browse all 4212

Trending Articles