Usiwe mnyonge wa kiuchumi kutana na wataalamu wa PDPR wenye uwezo wa kubadili maisha yako kwa muda mfupi katika uanzishwaji wa miradi na ushauri mbali mbali wa kiutalaam na wewe uwe sehemu ya mabadiliko..
Asasi ya PDPR inasaidia uanzishwaji wa miradi ya mashamba ya mbao na matunda mbali mbali kuanzia hatua ya kwanza hadi ya mwisho kwa gharama nafuu na ufanisi wa hali ya juu na utafika kutembelea shamba darasa zetu za miti ya matunda na mbao na ufugaji kuku, samaki, nyuki.
HUDUMA YA
- Utengenezaji wa kitalu cha miti (Nusuries of trees)
- Uhamishaji wa miche kwenye viriba (Tubes)
- Mafunzo ya kilimo cha miti ya mbao na matunda na vitabu.
- Ushauri wa uandaaji wa kitalu cha miti mbali mbali na uhudumiaji na pamoja na kitabu.
- Ushauri wa upandaji wa miti mbali mbali shambani na uhudumiaji.
- Huduma ya utunzaji wa miti na masoko.
- Pia kama unahitaji kununua au kuuza shamba eneo lolote unasaidiwa kulipata kwa gharama nafuu zipo hadi ekari kwa TSH: 70,000/= kwa kilimo cha miti na matunda mbali mbali.
UANZISHWAJI WA MIRADI YA UFUGAJI NYUKI.
Tunasaidia uanzishwaji wa mradi wa ufugaji nyuki na taaluma zingine zinazoendana na upatikanaji wa eneo la ufugaji na asali na nta yako yote ya ziada itanuliwa na PDPR.
HUDUMA YA
- Mafunzo ya ufugaji nyuki na kitabu.
- Mafunzo ya utengenezaji wa mizinga ya mbao, udongo, kisasa (commercial) na uuzaji
- Mafunzo na huduma ya ujenzi wa nyumba ya nyuki.
- Mafunzo ya ufungasahaji mazao ya nyuki.
- Mafuzo ya uongezaji wa thamani mazao ya nyuki.
- Huduma ya masoko "Kutafutiwa muuzaji au mnunuzi wa mazao ya nyuki"
- Mafunzo ni kwa vitendo na nadharia.
- Kutembelea shamba darasa letu la Nyuki (Kutalii)
UFUGAJI KUKU NA UANZISHWAJI WA MIRADI.
PDPR ina uzoefu wa miaka 4 katika utotoleshaji wa vifaranga na ufugaji wa kuku na imesaidia uanzishwaji wa miradi mikubwa na midogo ya ufugaji kuku wa aina mbali mbali na wanatoa huduma ya.
Mafunzo ya ufugaji kuku na kitabu.
- Utotoleshaji.
- Utengenezaji wa incubator za mafuta ya taa na umeme.
- Utengenezaji wa dawa za asili za kuchanja kuku za mimiea 6
- Ujenzi wa banda la kufugaji kuku na kulelea vifaranga.
- Uongezaji wa thamani mazao ya kuku.
- Huduma ya masoko ya mazao ya kuku kwa anayeuza au kununua "Kuku, mayai, vifaranga"
- Ushauri wa uanzishwaji wa mradi wa kuku na utotoleshaji.
- Utembeleaji wa mashamba yetu ya kuku "Kutalii"
UFUGAJI SAMAKI NA UANZISHWAJI WA MIRADI.
PDPR inauzoefu wa ufugaji samaki na ina mabwawa yake ya shamba darasa na inahamasisha uanzishwaji wa miradi wa ufugaji samaki
HUDUMA YA.
- Mafuzo ya ufugaji samaki na kitabu.
- Ushauri elekezi wa uanzishaji na uendelezaji.
- Mafunzo na huduma ya uchimbaji bwawa na ujenzi.
- Mafunzo ya utengenezaji wa chakula cha kuku.
- Mafunzo ya uongezaji thamani mazao ya samaki.
- Uuzaji wa vifaranga vya samaki vya aina mbali mbali.
- Huduma ya masoko "Kuwaunganisha wauzaji na wanunuzi wa bidhaa za samaki"
- Kutembelea bwawa la samaki "Kutalii"
Kwa mawasiliano piga simu 0754397178, 0652556833 au tuma email. pdprngo@gmail.com na ushauri wowote kwa kwa simu ni TSH: 3,000 na ukifika ofisini kwetu kwa saa 1 ni TSH: 10,000 kwa asiye mwanachama na mwanachama wetu ni TSH: 1,000/= na kama ukihitaji kuwa mwanachama piga simu 0754397178 au 0652556833 na ni TSH: 30,000/= kwa mwaka na ada TSH: 20,000 inaweza kulipwa kwa awamu tatu.