COBIHESA Trust Fund:
Wapendwa,
Sisi COBIHESA kwa kushirikiana na Shirika la Hesperian Health Guides la Marekani tungependa kujua iwapo rasilimali zinazotumika kwa lengo la kuboresha afya ya wanawake katika ngazi ya jamii zinalenga vipaumbele. Je ni vipaumbele gani 4 juu ya afya ya wanawake katika ngazi ya jamii ambavyo vinapaswa kushughulikiwa kwanza ?