Quantcast
Channel: Envaya: Latest updates
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4212

PRETTY DEVELOPMENT FOR POVERTY REDUCTION (PDPR) updated its MIKOPO EGG INCUBATOR page.

$
0
0

Asasi ya PDPR inauza na kukopesha vitotozi vya mayai ya kuku automatic na manual vya mafuta ya taa na umeme, mashine za kuchomelea, kufyatulia tofari, biogas plant (umeme wa choo) mizinga ya nyuki, vifaranga vya kuku na samaki na miche ya matunda. pia tunatoa mafunzo ya ujasiriamali, biashara na masoko, uwekezaji na kilimo cha matunda mbali mbali pia ufugaji wa nyuki, kuku, nguruwe na samaki na tunavitabu vinauzwa kwa TSH: 2000/= kwa kila somo. kwa maelezo zaidi popote nchini piga  0754397178 au 0652556833 au tuma email pdprngo@gmail.com.

Mashine hizi vina ufanisi wa zaidi ya asilimia 87 kama mashariti na vigezo vya utumiaji vitazingatiwa na mteja. PDPR inauzoefu wa miaka mitatu na imeshauza zaidi ya mashine 4710 ndani na njee ya nchini kama Zambia, Malawi na zina warranty ya miezi 6 hadi 9 na wateja wetu watapata huduma baada ya mauzo (after sale service) na kupwe mafunzo ya ujasiriamali na mradi husika bure na watatafutiwa masoko ya bidhaa zao.

Tupo wilaya ya Njombe, Kata ya Mtwango ila tunahudumia nchi Nzima Bidhaa yako itasafirishwa kwa busi au lori kokote nchini.

Na tunatoa mafunzo ya ujasiriamali, biashara, masoko, uwekezaji, utunzaji wa kumbu kumbu na hesabu ya biashara, ufugaji wa kuku, nyuki, samaki, kwale na kilimo cha mahindi, viazi, nyanya, matikiti maji, matango, mapapai, kabichi, nyanya chungu, pilipili hoho na mboga mboga za majani pia Tunavitabu vyote za masomo na mazao hayo hard copy inauzwa TSH: 2000/= kwa kitabu na TSH: 3000/= Softy copy na pia tunaendesha kambi za mafunzo kila mwezi wa watatu, sita, tisa na kumi na mbili na mafunzo kwa njia ya masafa.

Pia tunahitaji mawakala wa kututafuti masoko.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 4212

Trending Articles