KAMBI YA MAFUNZO YA UFUGAJI NA KILIMO YA UKOMBOZI
PRETTY DEVELOPMENT FOR POVERTY REDUCTION (PDPR).
S.L.P 430, Njombe. Simu: 0754397178, 0652556833,
Barua pepe: pdprngo@gmil.com,Tovuti:www.pdprngo.blogspot.com
Mkurugeenzi Mtendaji wa PDPR,
S.L.P. 430, Itunduma, Njombe.
P/FM/QIZ/4662 . . .
Tarehe: 02/03/2015
KAMBI YA MAFUNZO YA UFUGAJI NYUKI, SAMAKI, KUKU NA KILIMO MBALI MBALI
Asasi ya PDPR huendesha kambi ya mafunzo katika kituo chake cha maendeleo ya biashara na kilimo (PDPR Agriculture and Business Development center) kwa siku 3 kila baada ya miezi mitatu ambayo imekuwa baraka kwa wengi na kupata majibu ya maisha yao ya kila nyanja hasa kiuchumi baada tu ya kukutana na Ndugu: Imma Philipo Salingwa mwanzilishi na Mkurugenzi mtendaji wa PDPR ambaye anavipaji vingi vya ajabu na anashauku kubwa ya kukuona na wewe ukifanikiwa kama yeye.
Kambi huendeshwa kwa kutoa mafunzo ya uelewa na kujitambua “mindset’, stadi za maisha, ujasiriamali, biashara, uwekezaji, utunzaji kumbukumbu na hesabu za miradi, kilimo cha mahindi, viazi, nyanya, pilipili hoho, mananasi, ndizi, maparachichi na ufugaji wa kuku, nyuki, samaki na nguruwe na uandishi wa mchanganuo wa mradi (business plan).
Washiriki watachukua fomu kwa TSH: 10,000 na watalipa TSH: 60,000 kabla ya siku 10 za mafunzo na watapata chakula, malazi, mafunzo na vitabu vyote kwa gharama hiyo hapo na watendelea kupewa ushauri na kusaidiwa kuanzisha miradi yao na PDPR itanunua kwa bei nzuri bidhaa zao na kuuza njee ya nchii a watakuwa na uhuu wa kuuza kokote watakapo penda kw bei yoyote.
Washiriki watapewa kipaumbele wakati wa ununuzi wa bidhaa zetu kwa kupewa punguzo la bei kwani tunategemea watakuwa wagavi wetu wa bidhaa wa kuaminika.
Mafunzo yatatolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa PDPR pamoja na timu yake ya ndani ya nchi na njee ya nchi kama ikiwezekaa.
Washiriki wataweza kujikusanya kama kikundi hukohuko waliko na kuwasiliana na ofisi yetu itaweza kumtuma mtoa mafunzo na wakahudumiwa vizuri kabisa ili kupunguza ghaama za usafiri.
Kwa maelezo zaidi juu ya uchukuaji wa fomu, mafunzo, piga 0754397178, 0652556833 popote nchini.
Kambi itafanyika tarehe 3 haadi 5 mwezi wa nne.