Quantcast
Channel: Envaya: Latest updates
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4212

PRETTY DEVELOPMENT FOR POVERTY REDUCTION (PDPR) created a MIKOPO EGG INCUBATOR page.

$
0
0

Asasi ya PDPR inauza na kukopesha vitotozi vya mayai ya kuku automatic na manual vya mafuta ya taa na umeme, mashine za kuchomelea, kufyatulia tofari, biogas plant (umeme wa choo) mizinga ya nyuki, vifaranga vya kuku na samaki na miche ya matunda. pia tunatoa mafunzo ya ujasiriamali, biashara na masoko, uwekezaji na kilimo cha matunda mbali mbali pia ufugaji wa nyuki, kuku, nguruwe na samaki na tunavitabu vinauzwa kwa TSH: 2000/= kwa kila somo. kwa maelezo zaidi popote nchini piga  0754397178 au 0652556833 au tuma email pdprngo@gmail.com.

Mashine hizi vina ufanisi wa zaidi ya asilimia 87 kama mashariti na vigezo vya utumiaji vitazingatiwa na mteja. PDPR inauzoefu wa miaka mitatu na imeshauza zaidi ya mashine 4710 ndani na njee ya nchini kama Zambia, Malawi, Uganda na zina warranty ya miezi 6 hadi 9 na wateja wetu watapata huduma baada ya mauzo (after sale service) na kupwe mafunzo ya ujasiriamali na mradi husika bure na watatafutiwa masoko ya bidhaa zao.

Tupo wilaya ya Njombe, Kata ya Mtwango ila tnahudumia nchi Nzima Bidhaa yako itasafirishwa kwa busi au lori kokote nchini.

Pia tunahitaji mawakala wa kututafuti masoko.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 4212

Trending Articles