Tangazo la Ubia
Asasi ya Nachingwea Agro-Environmental Services Organization (NAESO) yenye makao yake wilayani Nachingwea,Mkoa wa Lindi, inatafuta Partner Organizations za kitafa au kimataifa zenye miradi ya kutekeleza katika mojawapo ya nyaja zifuatazo;
1. Climate Smart Agriculture
2. Tree planting
3. Elimu
4.Malaria, HIV na TB
5. Mining
6. Renewable energy
7. Beekeeping using commercial hives
8. watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi (most vulnerable children)
Asasi imesajiliwa chini ya sheria ya NGO.
Wasiliana nasi kupitia;
naesonach@yahoo.com au na executive secretary 0713857799