MED inatafuta washirika ambao wako tayari kushirikiana katika kazi mbalimbali. Kama uko tayari kushirikiana nasi tafadhali usisite kuwasiliana nasi wakati wowote.
Kwa sasa washirika wa MED ni:-
- OxfarmGB
- HakiElimu ya jijini Dar es Salaam
- UWEZO.net ya jijini Dar es Salaam
- ILO
- The Foundation for Civil Society
- BBC Media Action
- CARE - Tanzania
- United Nations Girls Education Innovation (UNGEI)