Kikundi kinajulikana kwa jina la Kasulu Sports Academy kimeanzishwa tare he 20/4/2008
Ilianza ikiwa na watoto 30
Ikiwa na aina mbili ya lika kati ya miaka 13 na 15
Lengo kuu la kuanziswa kikundi hiki ni kuinua na kuibua vipaji vya watoto wanao is hi katika mazingira tatanishi(magumu)
Hivyo uwongozi ukaamua kukaa kwa kina na kuamua kuunda(kuanzisha) kikundi ili kusaidia kukuza na kuibua vipaji vya watoto.
↧