Quantcast
Channel: Envaya: Latest updates
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4212

VOLUNTEER FOR YOUTH IN HEALTH AND DEVELOPMENT added 2 News updates.

$
0
0

Napenda kuwapa taarifa kuwa ule mradi wa utetezi, tumesha kwisha saini mkataba na hivi sasa tunasubiri pesa hizo kuingizwa katika akaunti yetu, mradi huu utatekelezwa katika kata ya Majengo shule ya sekondari umoja, tunaomba sana uvumilivu wenu kwani wafadhili nao wanatafuta pesa ni imani yetu kuwa zitakapo patikana mradi huu utaanza mara moja.

Pia kuna kazi za kujitolea ambazo zinaendelea Mtwara na Dar es salaam, kazi hizi ni muhimu sana kwani ni sera ya shirika letu kujitolea na kufanya kazi wakati wote hata kama hakuna mfadhili. Pamoja na taarifa hizi za miradi kwenu naambatanisha ripoti ya semina ya ujasiliamali iliyofanyika hivi karibuni Tabata kisukuru na ni matumaini yetu kuwa ripoti hii kwa wadau itaamsha ari na moyo wa kuyafanya haya Mtwara.

Wenu katika Kazi.

Deo Makoti

MKURUGENZI

VOYOHEDE-TANZANIA.Ripoti_ya_Mafunzo_2.doc


Viewing all articles
Browse latest Browse all 4212

Trending Articles