VICTORY YOUTH SUPPORT ORGANIZATION (VIYOSO) Ni shirika lisilo la kiserikali linaloshughulikia vijana mkoani Morogoro shirika lina ofisi zake ndani ya mtaa wa ukutu, kata ya Uwanja wa Taifa manispaa ya Morogoro.
Shirika la Viyoso imeanzishwa mwaka 2010 na kupata usajili wake rasmi mwaka 2011, namba ya usajili ni 0000NGO/4995.
Anwani za shirika: S L P 5143, MOROGORO
Barua Pepe: viyoso2011@gmail.com
Simu: +255 713 180176.